Pensethnor
Disciple of Prayer
Pastor, mmi naitaji maombi na niko tu na shida mingi, nilikwa na kazi poa but pesa yangu sijui ata ilikwa inaenda wapi na pia naitaji tu ###, kwa sai mm kazi ambayo nafanya ni kulinda nyumba ya ###, natamani kufika uko lakini ni fare sijapata but nitafika juu kuna mambo mingi ambayo yanaitaji maombi.
