Bashgaaj
Disciple of Prayer
Mimi naitwa ###,,katika masomo yangu ya msingi na sekondari nilikuwa naongoza ..I was always taking the top position lakini sijui nyota iliibiwa wapi,,nlilipomaliza kidato cha ### nilihitimu na gredi ya ###..nilitaka kusomea uuguzi lakini pesa ikakosekana..kwa ndoa niliolewa kisha tukaachana ### xaxa nalea watoto peke yangu.