Bwana Yesu asifiwe mchungaji, Kwa majina naitwa ### nipo ###. Ninaomba msaada wa maombi yakufunguliwa Kwa family yangu, baba angu yupo ### hajiwez anaumwa hiki mara hii saivi hadi ### hakuna dawa inayomsaidia tumbo limevimba hadi kula chakula. Nina mrefu nataza kipindi cha mahubiri yako...
Nipo Tanzania, naitwa ### naomba kuombewa nasumbuliwa na sana tumbo kwenye kizazi kwa muda mrefu sasa kila nikienda hospitali kuna tatizo jipya, pia kwenye mahusiano yangu familia ya mwenzangu wanapinga mahusiano yetu ninaomba Mungu anikumbuke, pia nakmba dada ### nagu Mungu ampatie ndoa ..Amen
Pray the lord Jesus mimi ni ### ### ### na mume wangu ni ### ### ### ###. Tumetoa sacrifice ya namba ### tarehe ###.###.###. Tunaoomba Mungu atujalie watoto tuko na ndoa ya miaka ###, nimeambiwa na ### mayai yangu hayakomai ila tunamwamini Mungu tabu yetu imekoma. Tutapokea muujiza wetu. Kupitia...
PRAISE THE LORD Pastor My name is ### from ### am ### years old am studying at ### To start of I think my life is not as supposed to be because I’m lack of a lot of things which is I have several diseases since young like eyes diseases regularly coughs and running noses and am much skinnier also...
Bwana Yesu asifiwe:- Mimi naitwa Mchungaji ### kutoka ###, nilikuwa Naomba Mungu anifungulie milango yangu Baraka kwenye huduma yangu na kazi ambayo haitazuia kazi ya Mungu iendelee
Lord Jesus intervene in my interview on ### July ###, whatever ### let it be a pass or LORD. It's your desire I succeed LORD. I am asking for break through LORD Jesus.