Fuchlon
Disciple of Prayer
Bwana Yesu asifiwe mchungaji, Kwa majina naitwa ### nipo ###. Ninaomba msaada wa maombi yakufunguliwa Kwa family yangu, baba angu yupo ### hajiwez anaumwa hiki mara hii saivi hadi ### hakuna dawa inayomsaidia tumbo limevimba hadi kula chakula. Nina mrefu nataza kipindi cha mahubiri yako ninayoiman kuwa hata baba angu aweza kupona kabisa.